Candy ft Jordan Da Prince Mziki Mtamu (Official Video)

12:46 PM

WALICHO SEMA MARAFIKI WA LULU OSCAR BAADA YA KIFO CHAKE

12:37 PM

Unajua Binadamu tunahitaji FURAHA siku Zoote za UHAI na Maisha yetu Hapa Duniani, JapokuwaWakati Mwinginehatuwezi KUIEPUKA HUZUNI. Nakumbuka LIFESTYLE ya pale Chuoni Royal College Alikuwa Mcheshi, Mzungumzaji, Anayependa Watu, Aliyependa Kujichanganya na Watu wa Jinsi zote! Pole zangu Kwa Wanafunzi woote Wa Cha Royal College of Tanzania (RCT), Ndugu Jamaa na Familia ya Lulu Oscar
We Will Miss U Ever!
— with Iddy Harnaa Mkwama and 21 others.
Unajua Binadamu tunahitaji FURAHA siku Zoote za UHAI na Maisha yetu Hapa Duniani, JapokuwaWakati Mwinginehatuwezi KUIEPUKA HUZUNI. Nakumbuka LIFESTYLE ya pale Chuoni Royal College Alikuwa Mcheshi, Mzungumzaji, Anayependa Watu, Aliyependa Kujichanganya na Watu wa Jinsi zote! Pole zangu Kwa Wanafunzi woote Wa Cha @[198392600196991:69:Royal College of Tanzania (RCT)], Ndugu Jamaa na Familia ya @[100000675940981:2048:Lulu Oscar]
We Will Miss U Ever!

MAZISHI YA MARIAMU KHAMIS

8:42 AM
Baadhi ya Wasanii,Ndugu,na wapenzi wa muziki wa Taarab hapa nchini wamejumuika pamoja katika safari ya kupumzisha mwili wa aliyekuwa msanii wa kundi la TOT  marehemu Mariam Khasim katika nyumba yake ya milele.Maria Khasim alifariki wakati akijifungua Muhimbili na mtoto kutoka salama.Baadhi ya wasanii walikuwepo kwenye mazishi baadhi yao ni Khadija Kopa, Isha Mashauzi, Mzee Yusuph na mke wake Bi Leila,Nyota Waziri, Bi Hindu na  wasanii wenzake wa kundi la TOT
Msanii nyota wa muziki wa Taarab hapa nchini Khadija Kopa mwenye kitambaa Chekundu akiwa pamoja na waombolezaji wengine
Inasemekana huyo alikuwa ni rafiki mkubwa sana wa Marehemu, ni msanii mwenzake wa TOT anaitwa Mwasiti
Mwasiti akiwa na uchungu wa kumpoteza rafiki yake
Mtangazaji wa kipindi cha taarabu East Africa Radio Mwamfuo akiwa na mtangazaji wa Capital Radio Hawa
Waombolezaji
Isha Mishuzi
Mzee Yusuph akiwa na mke wake Bi Leila na waombolezaji wengine
Mtangazaji wa Taarabu wa Times Fm
Msanii Nyota Waziri naye alikuwepo
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mariam likiingia
Mariam Khasim kwenye picha chini, amezikwa katika makaburi ya Magomeni Makuti ameacha watoto wawili, akiwemo huyo mchanga.Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema.

NEW TRACK: STELLA MWANGI FT. MWANA FA - STELLA x 3 (rmx)

8:35 AM

NEW TRACK- LUNDUNO- BARAKA ZA NEEMA

8:25 AM

NEW TRACK- ALLY- KIBAMY EVERYTHING

8:22 AM

Saigon amchana Rick Ross na wasanii wakubwa wa Hip Hop kwa kuwaaharibu watoto!

8:15 AM
Rapper mkongwe kwenye ulimwengu wa Hip Hop Saigon (wa marekani sio wa TZ) amejitokeza tena na kumchana Rick Ross na wasanii wengine wakubwa wanaofanya Hip Hop kwa kile anachodai wanaharibu maadili ya kizazi hiki hasa watoto ambao wanasikiliza sana kile wanachokiimba kwenye nyimbo zao. 
 Saigon ambae miezi kadhaa iliyopita aliwahi kumchana Rossay kivingine amerudi tena na kuongeza idadi ya anaowachana na sasa hii inaenda kwa wasanii wote wa Hip Hop wanaohusika na anachokisema. 
“Hii iko nyuma yangu mimi, unajua nini, kama hawatabadili ujumbe, kwa kweli, ntakuwa katika beef nzima na mpya, nani ambae ntampuch sasa hivi? Rick Ross.” Alianza kufunguka Sai, “nataka kumpunch kila mtu, man. Rick Ross, 2Chainz, kila mtu ambae anaefanya muziki unayowadhuru vibaya watoto, kwa sababu hizi kampuni zinamarket muziki wao kwa watoto, na wote manajua hili. Mimi nina watoto pia, man. 
Sijaribu kupambana na mtoto wangu mwenyewe kwa sababu amekuwa influenced na big booty. Nilifanya ‘106 & Park siku moja, na nilisikitika sana kuona hawa wasichana wadogo wakitema mashairi na mambo mengine yaliyokuwa yanawatoka mdomoni na walikuwa na umri wa mika 13 na 14, na walikuwa wanaongea haya yote! I was like, ‘God d*mn,yo, nani anaehusika katika haya yote?..sio kwamba namnyooshea kidole Rick Ross na 2 Chainz na watu wao, kwa sababu kila mtu anafanya hivi.” 
Alifunguka Saigon na kumaliza na msemo unaoweza kueleweka kwa haraka haraka kuwa ‘waweke watu wote wanaofanya hivyo na uwachane wote bila kuchagua’... ‘Put them all on a dart board and throw the dart’. 
Mwezi may Saigon aliwahi kutoa maneno kama haya na akawachana Rick Ross na Big Sean, kwa kufanya ngoma ambazo zinaharibu maadili ya jamii, na kusapoti uhalifu kama uuzaji wa madawa ya kulevya. Ngoja tuiweke kwa ‘kidhungu’ ili ifike kama ilivyotoka kinywani kwa Saigon. 
“You can put all this sh*t on your site because I don't give a f*ck. I don't give a f*ck because at this point, I've made up my mind. I made up my mind that I'm taking a whole different approach. ... Rick Ross and all these n*ggas rapping about drug dealing, all the sh*t that f*cks up the black community, they're not gonna be able to make no money. I'm gonna shut all their money down. 
Why ya'll supportin' a n*gga that promotes the destruction of our community? Why are you doin' that? Why would you let this n*gga thrive and we don't know where our next jobs are coming from? He's rapping about selling kilos of cocaine and selling drugs. This is what he's about, this whole lifestyle saying he's so rich and he eats shrimp every night, and ya'll support this sh*t? and ya'll broke and poor and your family's about to get kicked out. That's our hit son! That's his hit. Nobody knows the words to this song, all they know is "ass, ass, ass, ass, ass, ass, ass" [background noises]. We don't care about "ass, ass, ass, ass," but this is the society we livin' in right now. So it's like alright”.

OFFER!! OFFER!! OFFER!!!

8:09 AM

...The greatest offer ever to be given in a Nairobi Club is being given TONIGHT & every WEDNESDAY. ROCKSTEADY WEDNESDAYS Happening @ DEEP WEST off Lang'ata Road next to T-mall,Tuskys. Featuring Supremacy Sounds all stars Entrance is 150/= & you get 2 BEERS FOR FREE.... YES 2 BEERS FOR FREE upon entry..... Do I have to say more??? Miss it & you'll regret.

NEW TRACK: TMK FAMILY - TUTAONEKANAJE

8:06 AM

NEW TRACK: STAMINA - MORO MORO

7:57 AM
Baada ya Mwanza Mwanza ya Fid Q Stamina nae aamua kuachia Moro Moro ikiwa ni moja ya muonekano wa msanii huyu kuyakubali au kuzikubali kazi za Fid Q ambaye amekuwa kipenzi cha wasanii wengi wa Hip Hop kibongo bongo na hata wale wanaofanya muziki wa kuimba.. 
Saluti kwako Ngosha kwa kukubalika Home bila ya fitina zozote toka kwa wasanii

Rihanna atangaza nchi saba atakazopiga tour yake ‘777’

7:48 AM
The Diamond hit maker ametangaza rasmi ratiba ya tour yake iliyokuwa inasubiriwa sana na fans wa nchi kibao ikiwa na title ‘777’ ikiwa na maana ya nchi saba, siku saba na show saba atakazopiga. 
Rihanna anatarajia kuzunguka na jet maalum kwa siku zote saba na anatarajia kuambatana na group la watu 150 ambao ni waandishi wa habari na fan club members ambao watazunguka nae katika nchi zote saba. 
RiRi mwenyewe alifunguka, “I am so excited about the 777.” Mrembo huyo mwenye miaka 24 aliendelea kuonesha furaha yake kuhusu 777 tour, “tunaibadili hii Jumbo Jet kuwa bus letu la tour. Tutaishi ndani ya hiki kitu kwa wiki: kulala, kuparty, vyote kwa pamoja. Mimi, fans wangu, waandishi wa habari...it is going to be a wild ride.” Rihanna anasema anataka kuwa rock and roll adventure katika tour hiyo. 
The R&B Diva alionekana kuipania sana tour hiyo kiasi cha kuwafanya fans waombe majina la nchi zao yawe kwenye hiyo list ya nchi saba, “nadhani ni kitu poa zaidi ya kitu chochote nichowahi kufanya. I’m that excited about it,” alisema Rihanna. 
Wakati Rihanna anajiandaa na tour hiyo, album yake ya saba ‘Unapologetic’ inasubiri kuachiwa officially November 19. Ikiwa na ngoma yake ya kwanza aliyoiachia ‘Diamonds’ na ‘Stay’ aliyoiachia hivi karibuni.
Hii ndiyo ratiba ya ‘777’ tour ya Rihanna kwenye nchi saba kwa siku saba na show saba:

•             November 14 in Mexico City
•             November 15 in Toronto
•             November 16 in Stockholm
•             November 17 in Paris
•             November 18 in Berlin
•             November 19, Worldwide Album Release Date, in London
•             November 20 in New York City

COMING SOON

7:15 AM

NYUMBANI LOUNGE

7:14 AM

HAPPY BIRHTDAY BOMBA FM RADIO ZANZIBAR

7:13 AM
UONGOZI NA WATANGAZAJI WA BOMBA FM  UNAWAKARIBISHA WOTE KUJA KUSHEREHEKEA MIAKA 5 BOMBA FM KWA BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI ITAKAYO HUSISHA MAPENZI NA WAFANYAKAZI WOTE WA BOMBA FM RADIO KWENYE UWANJA WA MAO BAADA YA HAPO BURUDANI ZINA HAMIA PALE NGOME KONGWE KUANZIA SAA MOJA JIONI. NA KUENDELEA KATIKA USIKU HUO UTAPATA BURUDANI TOKA KWA QUEEN DARLIN, ALLY KIBA, SMILE WA KICHEFUCHEFU, MOMBA, ABBY SKILS, BOB JUNIOR, DOGO AMIRY BERRY BLACK, SULTAN KING, BABY J, MAN TUZZO T,GWAY, FAN KISS, WARDA BABY, SIDE 2THELEE, ALONEYM, DOGO FANI, PIA UTAPATA NAFASI YA KU SHOW LOVE NA PRESENTERS WOTE WA BOMBA FM RADIO WAZAMANI NA SASA,
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates